Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

(FAQs)

Logo leaf new

Apollos Shop ni duka la mtandaoni, na tunasafirisha bidhaa kote Tanzania.

Kwa Dar es Salaam, unapata ndani ya masaa 24. Nje ya jiji, hutegemea umbali lakini mara nyingi ndani ya siku 2-3.

unapokea malipo kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, na benki.

Tunasafirisha ndani ya Tanzania. Lakini pia wateja wetu wa East Africa wanapata bidhaa zao pia kwa bei ya makumbaliano

Shopping Cart
en_USEnglish